MajorDavid1992
New Member
- Nov 8, 2018
- 2
- 3
[emoji28][emoji28] mkuu kijana wa kiume au wa kikePoleni na majukumu ya kila siku.
Natafuta kijana aliechangamka
Kazi: Hii ni part time job. (Kulingana na makubaliano)
Sifa
1. Awe anaifahamu Dar es Salaam vizuri
2.Awe na ushawishi mkubwa
N.B
Elimu ya darasani sio lazima ila akiwa nayo itakua added advantage.
Kama umevutiwa nifate inbox
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Asa si utaje kazi yenyewe mtu ajue anakuja kufanya nini ajiandae
Unashangaa tunajiandaa mpaka cv tunabeba kumbe kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha
Poleni na majukumu ya kila siku.
Natafuta kijana aliechangamka
Kazi: Hii ni part time job. (Kulingana na makubaliano)
Sifa
1. Awe anaifahamu Dar es Salaam vizuri
2.Awe na ushawishi mkubwa
N.B
Elimu ya darasani sio lazima ila akiwa nayo itakua added advantage.
Kama umevutiwa nifate inbox
2[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Asa si utaje kazi yenyewe mtu ajue anakuja kufanya nini ajiandae
Unashangaa tunajiandaa mpaka cv tunabeba kumbe kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha
Yes mkuuPoleni na majukumu ya kila siku.
Natafuta kijana aliechangamka
Kazi: Hii ni part time job. (Kulingana na makubaliano)
Sifa
1. Awe anaifahamu Dar es Salaam vizuri
2.Awe na ushawishi mkubwa
N.B
Elimu ya darasani sio lazima ila akiwa nayo itakua added advantage.
Kama umevutiwa nifate inbox
Lazima itakua ni kazi ya kutembeza vitu mitaani, si unaona hapo kwenye vigezo? Kwamba aijue DSM vizuri[emoji4] [emoji4] [emoji1]Asa si utaje kazi yenyewe mtu ajue anakuja kufanya nini ajiandae
Unashangaa tunajiandaa mpaka cv tunabeba kumbe kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha