Ajira mpya zitatoka lini?

Mbona seerikali imetangaza ajira nyingi sana, huzioni uombe?

Au unataka zile za bure za waalim na madaktari, ambazo watu wanaajiriwa kwa pamoja?

Mtu amesomea ualimu/ kilimo ataomba utendaji /TRA kwa kuwa ajira zimetoka kwenye career hio?
 
Ndg yang ahsanthe saana ,,maaana umenigusaaa nami,, Jana nimeshindwa kusain mkataba na shirika japo kua nliwadanganya kua sjaomba nafas serikalin, Ila walivyonambia maswala ya mkatba nikala kona ,make nltaka ka katempo tuu,lakn wao wanataka mfunge mkataba
 
Yaani unaacha ajira mashirika binafsi kisa unasubiri ajira za serekalini ambazo hujui zinatoka lini, duuuh yaani huu ni upuuzi uliotukuka , haya endelea kusubiri
 

Utaijutia hii nafasi muuguzi
 
Mbona seerikali imetangaza ajira nyingi sana, huzioni uombe?

Au unataka zile za bure za waalim na madaktari, ambazo watu wanaajiriwa kwa pamoja?
Magufuli atoe ajira ili akose furaha. Yeye yuko busy na kina MANJI, TUNDU LISSU na MANGE KIMAMBI
 
Tunafanya finalization..soon tutawapangia kazi..muache kulalamika humu mitandaoni.
 
Mkuu niunganishe na Hilo shirika nipige mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…