Emmilian paul
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 141
- 63
Unamaanisha nn hapa?Smh, sijui hata watatumia vigezo vipi kuajiri coz watu ni wengi nafasi zilikuwa chache mnoo......washasema kama hukuweka payingslip ya leseni za mwaka Jana ndo basii
Hahaaa..kwani zile za TRA ni ajira au ni sehemu ya kukutana wadau kuelezeana magumu ya kitaa..mana sio kwa nyomi zile halafu nafasi zinyewe kiduchu.Mbona seerikali imetangaza ajira nyingi sana, huzioni uombe?
Au unataka zile za bure za waalim na madaktari, ambazo watu wanaajiriwa kwa pamoja?
Mkuu lile lilikua changa la macho tu..hakuna pesa ya kuajiri..nenda kalime matikiti au saini hiyo mikataba ya mashirika binafs uendelee na maisha yako.Mwezi Aug 2017 serikali ilitoa tangazo la ajira sekta ya afya na kuwataka walengwa watume maombi, lakini mpaka sasa hakuna tamko lolote juu ya hili. Hakuna kazi wala taarifa juu ya hili
Tuko mtaani tunashindwa kuchukua mikataba na mashirika binafsi sababu ya ajira za serikali..wao pia hawaeleweki ni lini wanatoa ajira,mtaa bila kazi ni ngumu sana
Ofisin kwako wap mkuu
Umekula maharage ya wapi wewe ?Mkuu lile lilikua changa la macho tu..hakuna pesa ya kuajiri..nenda kalime matikiti au saini hiyo mikataba ya mashirika binafs uendelee na maisha yako.
Hahaaa..mkuu naelewa kitaa kimekufanya udate ila ukweli ndio huo..ingawa ni mchungu uchukue hivyo hivyo..Umekula maharage ya wapi wewe ?
Hivi kwanini mkishapata kazi ya kufundisha huko Nanjilinji Secondary mnapenda kukatisha tamaa vijana wanaotafuta ajira ?
Ukiona huna unachojua uwe unakaa kimya tu.
Hahaaa..mkuu naelewa kitaa kimekufanya udate ila ukweli ndio huo..ingawa ni mchungu uchukue hivyo hivyo..
Sasa we endelea kusubiri meli airport..pigeni kazi mpunguze makali ya maisha kuliko kusubiri serikali itoe ajira usawa huu mwingine..
sawa..basi wewe mwenye info za maana wapatie vijana..kuliko kuja kupambana na comments zangu...nadhani haitosaidia chochote.Pole sana.
Inashangaza sana kubeba stori za vijiweni na kuzileta huku halafu sio kila mtu hana kazi.
Tatizo lenu mkishapangiwa shule za kufundisha huko Mtondo Secondary na akili zenu huwa zinadumaa.
Badirika jombaa acha kukatisha tamaa vijana na kama huna taarifa sahihi piga kimya usilete stori za vilabuni humu.