Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Thanks for info kiongoziWakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
ULIKUWA KANDA GANI MKUU ??Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
ULIKUWA MAHAKAMA AU HALMASHAURI??Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
Hii habari ni ya kweli?Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
Hyoooo y kwel au uwe na uhakik unachokisemaWakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
upo kada ipi mkuu?Wakuu ninachosema ndo nilicho na uhakika nacho....kwenye system naonekana sasa nipo FULL TIME....huwa sileti taarifa za uzushi na ndo maana nkajiongelea mimi
Wakuu ninachosema ndo nilicho na uhakika nacho....kwenye system naonekana sasa nipo FULL TIME....huwa sileti taarifa za uzushi na ndo maana nkajiongelea mimi
Hahahahaa...weee mjeda vipi mbona unsuliza Mara mbili mbili??? Hahahaaaa...weeee si mjeda???[emoji3] [emoji3] [emoji3] nk....a....g....CH...!!!upo kada ipi mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji626] [emoji626] [emoji780]Hahahahaa...weee mjeda vipi mbona unsuliza Mara mbili mbili??? Hahahaaaa...weeee si mjeda???[emoji3] [emoji3] [emoji3] nk....a....g....CH...!!!