S sammy4 New Member Joined Aug 12, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Aug 26, 2025 #1 Naomba kujua wale walimu wa ajira mpya wa masomo ya business studies ambao hatuna ualimu ila tumeajiriwa kama walimu vipi kuna waliojaza mikataba ya TSC jamani maana imekua kimya sasa
Naomba kujua wale walimu wa ajira mpya wa masomo ya business studies ambao hatuna ualimu ila tumeajiriwa kama walimu vipi kuna waliojaza mikataba ya TSC jamani maana imekua kimya sasa