Ajira mpya hizo

Jamani kwahiyo ndo ziko wazi hizo nafasi au bado azijatangwazwa na halmashauri
 
Ukiingia tamisem hiyo barua haipo wala tangazo...isije ikawa za mtaani hizo barua
 
Tamisemi kuna taarifa inayoonyesha vituo vya afya kuwa na wahasibu katika mikoa 26 ambayo inadhaminiwa na USAID watu 490 wanapewa mafunzo wakati vituo vya 550 zahati 6800 na hospital za wiliya 135 zikitegemewa kunufaika
 
Pia shule za msingi na sekonda zaid 20,000
 
Kumbe wasaidizi wa hesabu ndio wahasibu?
 
Tamisemi kuna taarifa inayoonyesha vituo vya afya kuwa na wahasibu katika mikoa 26 ambayo inadhaminiwa na USAID watu 490 wanapewa mafunzo wakati vituo vya 550 zahati 6800 na hospital za wiliya 135 zikitegemewa kunufaika
Nifafanulie hii hesabu yako mkuu sijaielewa......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…