BORNCV JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 242 Reaction score 46 Oct 20, 2011 #1 Washika dau naomba kupata jibu na ufafanuzi kama serikali inaajiri kwa kutumia partial academic transcript?
Washika dau naomba kupata jibu na ufafanuzi kama serikali inaajiri kwa kutumia partial academic transcript?
Maganga Mkweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 2,089 Reaction score 829 Oct 21, 2011 #2 BORNCV said: Washika dau naomba kupata jibu na ufafanuzi kama serikali inaajiri kwa kutumia partial academic transcript? Click to expand... sehemu nyingi za serikali hizi huwa wanazikataa unless wawe wanihaji mtu haraka ndio wanakupa ajira ila wanakusisitiza ufuatilie mapema iwezekano ..
BORNCV said: Washika dau naomba kupata jibu na ufafanuzi kama serikali inaajiri kwa kutumia partial academic transcript? Click to expand... sehemu nyingi za serikali hizi huwa wanazikataa unless wawe wanihaji mtu haraka ndio wanakupa ajira ila wanakusisitiza ufuatilie mapema iwezekano ..
COMPLICATOR2011 JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 253 Reaction score 35 Oct 21, 2011 #3 mpaka leo mimi niko kazini na ninatumia hizohizo, wengi ndo wanazotumia maana vyeti vinachelewa sana
M Mwesiga Florid Member Joined Oct 20, 2011 Posts 16 Reaction score 0 Oct 21, 2011 #4 zinakubalika, shaka ondoa mkuu
KANUTI SILAYO Member Joined Oct 3, 2011 Posts 73 Reaction score 16 Oct 21, 2011 #5 Usi hofu wapo watu wapo mzigoni na result za semister tano,bongo sasa hv ni uwe una mjua nani na nani ana mjua yupi
Usi hofu wapo watu wapo mzigoni na result za semister tano,bongo sasa hv ni uwe una mjua nani na nani ana mjua yupi
G Galconex Member Joined Aug 2, 2011 Posts 7 Reaction score 0 Oct 22, 2011 #6 Mmh mimi nimewahi kukosabahati ya kuajiriwa serikalini kwa kigezo kuwa sikuwa na cheti cha kumaliza chuo.. Km unaweza kuvipata ul be on the safe side coz Ushindan ni mkubwa mno these days
Mmh mimi nimewahi kukosabahati ya kuajiriwa serikalini kwa kigezo kuwa sikuwa na cheti cha kumaliza chuo.. Km unaweza kuvipata ul be on the safe side coz Ushindan ni mkubwa mno these days
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,135 Oct 22, 2011 #7 COMPLICATOR2011 said: mpaka leo mimi niko kazini na ninatumia hizohizo, wengi ndo wanazotumia maana vyeti vinachelewa sana Click to expand... Vyeti vinachelewa na full transcript je? Sasa hivi ni ngumu sana kupata kazi bila transcript mwambieni ukweli mwenzenu ili ajiandae.
COMPLICATOR2011 said: mpaka leo mimi niko kazini na ninatumia hizohizo, wengi ndo wanazotumia maana vyeti vinachelewa sana Click to expand... Vyeti vinachelewa na full transcript je? Sasa hivi ni ngumu sana kupata kazi bila transcript mwambieni ukweli mwenzenu ili ajiandae.