Duh kweli Mchungajo gwajima amekua kama Icon hana Redio, hana Televisheni, hana kipindi chochote kinachorushwa lakini amekua maarufu kila siku humu JF lazima jina lake litajwe na magazetini isipokua siku hizi mbili tangu afanye sherehe juzi jumapili naona hayaja andika!