Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2015 #1 Baada ya kugundua kuwa ujenzi wa nyumba hii iliyopo Bomang'ombe mkoani Kilimanjaro umeingia kwenye kiwanja chake ,mmiliki wa eneo hilo aliamua kujenga ukuta kuzunguka kiwanja chake na alivyofika katika nyumba hii alipitisha ukuta wake mlangon
Baada ya kugundua kuwa ujenzi wa nyumba hii iliyopo Bomang'ombe mkoani Kilimanjaro umeingia kwenye kiwanja chake ,mmiliki wa eneo hilo aliamua kujenga ukuta kuzunguka kiwanja chake na alivyofika katika nyumba hii alipitisha ukuta wake mlangon
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2015 Thread starter #2
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 Feb 24, 2015 #3 Komoa nikukomoe.ukimwaga mboga na mwaga ugali.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2015 Thread starter #4 theki said: Komoa nikukomoe.ukimwaga mboga na mwaga ugali. Click to expand... ukileta jeuri mie naleta kiburi
theki said: Komoa nikukomoe.ukimwaga mboga na mwaga ugali. Click to expand... ukileta jeuri mie naleta kiburi
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Feb 24, 2015 #5 Kuna watu wengine wanakua na uhasidi wa Nyoka....
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2015 Thread starter #6 NIMPENDENANI said: Kuna watu wengine wanakua na uhasidi wa Nyoka.... Click to expand... yupi hasa.......................................
NIMPENDENANI said: Kuna watu wengine wanakua na uhasidi wa Nyoka.... Click to expand... yupi hasa.......................................
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,062 Reaction score 168,726 Feb 24, 2015 #7 uswahilini drama haziishi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2015 Thread starter #8 Bujibuji said: uswahilini drama haziishi Click to expand... hayajakukuta Bujibuji
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2015 Thread starter #9 NIMPENDENANI said: Kuna watu wengine wanakua na uhasidi wa Nyoka.... Click to expand... wasambaa wanasema kama mbwai mbwai
NIMPENDENANI said: Kuna watu wengine wanakua na uhasidi wa Nyoka.... Click to expand... wasambaa wanasema kama mbwai mbwai
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Feb 24, 2015 #10 Amavubi said: wasambaa wanasema kama mbwai mbwai Click to expand... Mie hilo neno Akisema King Majuto hua Nachekaaa Mpaka Basi...😄
Amavubi said: wasambaa wanasema kama mbwai mbwai Click to expand... Mie hilo neno Akisema King Majuto hua Nachekaaa Mpaka Basi...😄
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 24, 2015 Thread starter #11 NIMPENDENANI said: Mie hilo neno Akisema King Majuto hua Nachekaaa Mpaka Basi... Click to expand... ndio mie unaweza kucheka sasa
NIMPENDENANI said: Mie hilo neno Akisema King Majuto hua Nachekaaa Mpaka Basi... Click to expand... ndio mie unaweza kucheka sasa