J Joseph Isaack JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 450 Reaction score 89 Dec 20, 2012 #1 Ajali imetokea hapa Maeneo ya Kingorowira Morognro. Basi la Zuberi no.1 , T642 AWE likitokea mwanza limemgonga mwanamke na kupoteza maisha hapo hapo. Source ,.mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
Ajali imetokea hapa Maeneo ya Kingorowira Morognro. Basi la Zuberi no.1 , T642 AWE likitokea mwanza limemgonga mwanamke na kupoteza maisha hapo hapo. Source ,.mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.