Ajali za bodaboda

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
748
Reaction score
386
Tunawasaidiaje hawa? Je hata kama eanawakimbia kwa kukosa nyenzo, je camera haziwezi kuwasaidia ili traffic aliyeko Mbele asaidie kama ilivyo kwenye magari?
 
Bora huyo anafanya kazi kwa bidii kujikwamua, anatafuta hela kwa jasho lake huwezi kumfananisha na kina chenge
 
walobeba mizigo hivi huwa hawafanyi michezo barabaraniii, kwa sababu ukiyumba mzigo wadondokaa...taabu ni wale wabebao abiriaaaa wana mbwembweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…