Ajali za barabarani katika barabara inayotoka tarakea kwenda mkuu rombo imekuwa ni tishio kubwa sana. Watu wengi sana wamepoteza maisha yao na wengine ni vilema. Wewe unaye kwenda kupanda mlima kilimanjaro kwa kutumia njia hiyo, kuwa mwangalifu sana kwa sababu kuna mambo ya kishirikina yanayo husika katika ajali hizo za barabarani, watu hutoa wenzao kafara kwa njia hiyo. Jambo la muhimu zaidi ni kuomba ulinzi wa mwenyezi mungu pindi upitapo katika barabara hiyo.
Tunaomba kufahamu ulivyofikia conclusion yako ukiambatanisha na scientific evidence kuwa watu wanatolewa kafara na sio uzembe wa madereva (kuvuta bangi, kulewa, haraka/ overspeeding, etc) au aina ya barabara na ubora wa magari.