Kumetokea ajali Kigoma, wanasensa waliokuwa wanatoka semina wamepata ajali, wawili wamekufa, mmoja ni head ticha, mwingne konda wa gari.
Wanasensa wengne 8 hali mbaya.
Source - TBC habari
duh mungu awalaze wanapostahili marehemu wote pia awape afya njema majeruhi warudi kusaidia taifa hili.sasa hapo ndio kasheshe ztakapoanza,ngoja tuskie wapinzani