Ajali ya kutisha Mandela road


Tabata relini kuna mataaa!!!
 
aisee nilikuwa natafuta uzi wa ghorofa mara ajali ya gari duu sikukuu hizi..
 
ndio sikukuu hizi,mi mwenyewe nimeahirisha kusafiri,so bad jaman
 

Wewe muongo muda uliopost hii kitu hapa nilikuwa napita tabata relini hakukuwa na kitu..usiwe unaandika vitu usivokuwa na uhakika navyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…