Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,306
- 11,687
Watu 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Bagamoyo kwenda Dsm kuacha njia na kugonga mti kisha kupinduka ktk eneo la Mbuyuni -Tegeta.
Source: RADIO1 STEREO
Tatizo dereva alinyonya viroba vya kutosha na mabangi.Viroba vinatumaliza.
Tatizo dereva alinyonya viroba vya kutosha na mabangi.Viroba vinatumaliza.
sheria ichkue mkondo wake......hapo ulevi umehusika 99.9%
:shock::shock::shock:...yaani uelewa wenu kuhusu ajali umeishia hapo?!...Madereva wamegeuka mawakala wa vifo kila mahali nchini.
pole zao wale wote waliokuwa wanawategemea hawa marehemu...Watu 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Bagamoyo kwenda Dsm kuacha njia na kugonga mti kisha kupinduka ktk eneo la Mbuyuni -Tegeta.
Source: RADIO1 STEREO
Pole kwa waathirika wa ajali.
Ilikua mbaya sana ila namshukuru mungu ameniokoa nimeumia kiasi tu mguu
Asante ndugu nilikuwamo katika gari hiyo
Ilikua mbaya sana ila namshukuru mungu ameniokoa nimeumia kiasi tu mguu
Tetesi tulizozisikia ni kwamba dereva alinyonya viroba maeneo ya kwa ndevu ni kweli maana nilikuwepo eneo la tukio kuna ukweli wowote?