Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
Inauma sana. Asubuhi hii hapa Suka, Kimara ajali ya bodaboda na daladala imeua. Usafiri huu umekuwa balaa kubwa. Fikiria, mtu kaacha familia. Anakwenda kusaka riziki halafu maisha yake yanakatizwa namna hii. Inauma sana.
hizi boda boda hatari sana aisee
Inauma sana. Asubuhi hii hapa Suka, Kimara ajali ya bodaboda na daladala imeua. Usafiri huu umekuwa balaa kubwa. Fikiria, mtu kaacha familia. Anakwenda kusaka riziki halafu maisha yake yanakatizwa namna hii. Inauma sana.
Madereva wa bodaboda jamani kwa kweli hawafuati sheria na wako rafu sana kwenye uendeshaji. R.I.P
Sio busara kuwa na roho nyeusi kiasi iko!!kama hujawahi kupoteza ndugu,rafiki,mzazi au mpenzi kwa ajali ya bodaboda nakuelewa,lakini sio busara bado bora ungejisemea kimoyomoyo!!Wafe tu wanakunywa viroba kila saa
Mzee Lowasa anasema hizi ni ajira kwa vijana. January Makamba anasema ni ajira kwa vijana.......hapa wakimaanisha vijana ni wavulana tu, wasichana wao wakaolewe, hawahitaji ajira.Inauma sana. Asubuhi hii hapa Suka, Kimara ajali ya bodaboda na daladala imeua. Usafiri huu umekuwa balaa kubwa. Fikiria, mtu kaacha familia. Anakwenda kusaka riziki halafu maisha yake yanakatizwa namna hii. Inauma sana.