Wapendwa mwenye taarifa kamili atujuze, Nimesikia kuna ajali ya basi la Priscus Alexzanda Company Limited (PACL) maeneo ya Magubike, likitokea Dar kwenda Dodoma.
wapendwa mwenye taarifa kamili atujuze. nimesikia kuna ajari ya basi la priscus alexzanda company limited PACL maeneo ya magubike, likitokea dar kwenda dom.
sasa wewe utaletaje habari ambazo hazina uthibitisho? piga simu kwanza uulize au umetumwa kuchafua biashara za watu? maana hiyo kampuni mpya kwa idodomia.
wapendwa mwenye taarifa kamili atujuze. nimesikia kuna ajari ya basi la priscus alexzanda company limited PACL maeneo ya magubike, likitokea dar kwenda dom.
Yap hiyo ajali kweli imetokea source ni abiria aliyekuwa anasafiri leo na kimbinyiko ya saa tano inayotoka dsm kwenda dodoma wameishuhudia hiyo ajali na pia wameweza kuondoka na majeruhi pamoja na abiria wengine kuelekea dodoma...idadi ya watu waliopoteza maisha sifahamu ila ajali ni ya uso kwa uso na lori