Ajali Mbaya sana hapa KIA

Sure: ukitaka lesseni class ya magri ya private(A,B,D,E….)hapa mkoani andaa kama laki 3 huna haja ya kuleta vyeti

Vehicle: Laki moja na nusu, Yule anayekupeleka kwa vehicleelfu 50, TRA elfu 50 na Jamhuri elfu 40
 
Acha kuendekeza rushwa Dar leseni ni sh arobaini tu na unaichikua kesho yake
 
Namba za simu za polisi hazipokelewi????
Walitoa za nn sasa....
 
Sure: ukitaka lesseni class ya magri ya private(A,B,D,E….)hapa mkoani andaa kama laki 3 huna haja ya kuleta vyeti

Vehicle: Laki moja na nusu, Yule anayekupeleka kwa vehicleelfu 50, TRA elfu 50 na Jamhuri elfu 40

Entim;
Kwetu wanasema ukimwona Chifu anakula hata kama anakula nyamafu nyamaza kwani ukisema waweza ishia kuuawa tu. Hilo ni shamba la wazee, wamebuni namna ya "Na weye kula hapoo". Kuna mtiririko mrefu tu.
Kama baba mwenye kaya anawajua Wauza sembe, majangili, wezi wa EPA na wahongaji mahiri wa chama chake, lakini hao woote wanapeta mitaani kwa magari ya tinted, unategemea huyo trafic ale wapi? Unategemea RTO ale wapi? Kwani yeye ndiye anaendesha hayo magari? Hata ukiamua kufuatilia mlolongo huo mreefu wa kusoma na kuipata hiyo leseni, nakuhakikishia hutakaa uipate kama hutatoa kitu. Ni uongo na ndoto kudhani kuwa ati kwa kwenda kwako chuo utapata leseni.
Huyo Vehicle Inspector mwenyewe hazijui hizo alama za barabarani wala sheria. Angelijua angesimamisha magari bondeni au kwenye miinuko? Tumwombe Mungu siku ipite ufike nyumbani na viungo vyako vyote bila kupoteza kimoja kwa ajali za kipuuzi. Mtoto wa miaka 12 ati ana leseni umeona wapi? Ni Tz tuuu.
 
Tshs 40000 x 1000000 zimechukuliwa na wa malaysia waliokua na tenda ya kutengeneza leseni mpya.Jee polisi wana database ya madereva wa hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…