ajali Mbaya Nshambya Bukoba

KAUDO

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
138
Reaction score
67
kuna taarifa za kutokea kwa ajali mbaya maeneo ya Nshambya nje kidogo ya Bukoba iliyosababisha vifo na majeruhi.Mlioko Bukoba tupia taarifa zaidi pls
 
Pole zao majeruhi na waliofariki RIP.Ila hakuna ajali nzuri.
 
Naona kama hilo gari limepiga kyankomela i.e limebinuka juu chini ama naelekea kuzeeka!

Vip chanzo ni nini tena ama dreva alishakunywa 'kalinya'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…