inaonekana ni ajari mbaya sana,kwani lori inasemekana halitamaniki na limeziba barabara
cha kushangaza baadhi ya watu wamekimbilia kubeba ng'ombe,kwa habari za Tbc watu 7 papo hapo wameaga Dunia ila idadi yaweza ongezeka,kwani lori lilikuwa ktk speed kubwa na kugonga hice upande wa dreva ktk upande huo uliogongwa hakuna aliyepona
mungu awarehemu