Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Pole sana kwao.Basi la kampuni ya Kimbinyiko limepinduka wilayani Gairo mkoa wa Morogoro
Mpaka sasa hakuna vifo wala majeruhi walioripotiwa kuumia kwa ajali hiyo.
View attachment 574069
Isuzu JourneyKuna ajali mbaya sana iliyohusisha coaster na treni pale masika morogoro Leo asubuhi ....sijaona bandiko lolote humu kuhusu hilo tukio
Ww uliona kwann huku weka ???Kuna ajali mbaya sana iliyohusisha coaster na treni pale masika morogoro Leo asubuhi ....sijaona bandiko lolote humu kuhusu hilo tukio
Saa yako ipo nyuma mkuu. Tulishapata habari tangu asubuhi mapemaKuna ajali mbaya sana iliyohusisha coaster na treni pale masika morogoro Leo asubuhi ....sijaona bandiko lolote humu kuhusu hilo tukio
[emoji106]
Hiyo habari ilishakuja huku asubuhi ile ile na picha juu jomba. Unakurupuka sana ndo maana humuishiwi madeni home kwakoKuna ajali mbaya sana iliyohusisha coaster na treni pale masika morogoro Leo asubuhi ....sijaona bandiko lolote humu kuhusu hilo tukio
Nlisikia so nlitegemea nkiingia humu ntakuta full story
Mimi mwenyewe nliiskia asubuhi but sikuwa na right info nikategemea nikute nyuzi humuSaa yako ipo nyuma mkuu. Tulishapata habari tangu asubuhi mapema
Kweli ndo maana madeni hayaishi kwetuHiyo habari ilishakuja huku asubuhi ile ile na picha juu jomba. Unakurupuka sana ndo maana humuishiwi madeni home kwako
Kuna ajali mbaya sana iliyohusisha coaster na treni pale masika morogoro Leo asubuhi ....sijaona bandiko lolote humu kuhusu hilo tukio
Uzi upoMimi mwenyewe nliiskia asubuhi but sikuwa na right info nikategemea nikute nyuzi humu