M mizigo mikoa yote Member Joined Dec 2, 2023 Posts 19 Reaction score 28 Dec 8, 2023 #1 Basi ilo linaofanya safari zake Kati ya mwanza kwenda kahama limepata ajali Leo kwa kugongana uso kwa uso na gari ndogo. Chanzo cha ajali na hali ya majeruhi watatoa wenye mamlaka husika ila mpaka sasa kuna kifo kimoja cha dereva wa gari ndogo.
Basi ilo linaofanya safari zake Kati ya mwanza kwenda kahama limepata ajali Leo kwa kugongana uso kwa uso na gari ndogo. Chanzo cha ajali na hali ya majeruhi watatoa wenye mamlaka husika ila mpaka sasa kuna kifo kimoja cha dereva wa gari ndogo.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,807 Reaction score 61,669 Dec 8, 2023 #2 kuna wapumbavu utawasikia "mwisho wa mwaka"
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,845 Reaction score 136,742 Dec 8, 2023 #3 Ok Poleni Ova
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,142 Reaction score 15,943 Dec 8, 2023 #4 dronedrake said: kuna wapumbavu utawasikia "mwisho wa mwaka" Click to expand... Upumbavu unaouona wewe kwa wengine ni akili na kinyume chake ni sawa sawa.
dronedrake said: kuna wapumbavu utawasikia "mwisho wa mwaka" Click to expand... Upumbavu unaouona wewe kwa wengine ni akili na kinyume chake ni sawa sawa.
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,308 Reaction score 11,627 Dec 8, 2023 #5 Tena ile Benz ya mwanza to kahama iliua mwaka jana
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,929 Dec 8, 2023 #6 Nauli za maza zimeanza vibaya
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,699 Reaction score 4,911 Dec 9, 2023 #7 Wapi picha?