Wengi mnahurumia kukosa kiti kwa Tundu Lissu, mnaumia Chadema kupunguza mbunge Bungeni huku CCM wakishangilia ujinga wa kuwaweza Chadema kwa ujanja huo
Ila mtu ambaye ni mwenye maono ya Mbali hawezi umia Lissu kukosa ubunge, wala Chadema kupunguza ubunge, ila Ataumia juu ya kitendo cha kumiminiwa risasi mheshimiwa Lissu,
Pia wapumbavu watashangilia kuwa wamempunguza nguvu ya, chadema Bungeni,
Lakin mwelevu kama kuna la Kufurahia ni miujiza ya Mungu iliyomfanya Lissu aendelee kuwa hai,
Vyeo ni ishu ndogo za kuacha duniani,
Britannica