Hapo shida ni ngazi ya juuFadlu ana roho mbaya hata mashabik wa yanga hatujapenda alicho mfanyia jamaa
Mo auHapo shida ni ngazi ya juu
Anaitwa nani vile?Golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars zamani Simba Sc Amejiunga na timu yake ya Zamani Azam FC Kwa mkataba wa miaka 3, Aisha anaondoka Simba baada ya kukosa namba mbele ya Spider man Mousa Pinpin Camara.
Je? Manula anaweza kurejea kwenye ubora wake.
View attachment 3399075
Aishi ni kipa bora.
Aishi bado yupo vizuriAmeshakwisha huyo
Kiwango kimeshukaAishi bado yupo vizuri
Wataje tu, unaofia nini? au unavina7 nao hao mwembe wetu wa uwani?Ni jambo jema. Kuna jamaa walitaka kukiua kipaji chake
Vipigo 5 mfululizo alidaka msaliti aishi manula?Kila la kheri kwake,
Vipi hata wale walio mtuma usaliti, hawamtakii?
Ila Waja, wakamtumia na kumuachaa, Lol
Lakini ndo ameteseka, poleee yake.
πππππ
Utajua wee, ππππVipigo 5 mfululizo alidaka msaliti aishi manula?
matokeo yake wameua timu yao kabisaNi jambo jema. Kuna jamaa walitaka kukiua kipaji chake