Aiseee “Spiderman No way Home” kama wewe ni shabiki wa Marvel unajua kuwa they just did it again

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
Trailer imetoka haijafika 24 Hrs tayari kuna viewers zaidi ya 31M which is not common kwa movie trailer. Inaonesha kiasi movie ilivyo special

Spiderman ni superhero comic character pekee anayeongoza kupendwa na watu kuliko wengine since yuko relatable sana. Hii movie nimeona trailer aisee Dr strange yupo na wanaonyesha villains wale wengine watakuepo wale wote wa zamani kina Dr octopus, electro..etc

Kama movie ikiwa kama trailer linavyoonyesha aisee watavunja box office hawa jamaa, maana ndio kawaida yao kupiga pesa ambazo sio za kawaida
 
Aisee niliiangalia leo asubuhi nimeipenda sana halafu na vile yumo my favorite character Doctor Strange.. hii movie itakua bora zaidi kuliko hata zile za nyuma. Nimependa walivyokua wanapambana kule na treni..

Kwa jinsi nilivyoielewa ni kua..
Baada ya Mysterio kumuonyesha sura yake kua ndio aliyeshambulia Uk na drones.. peter anakamatwa. Sasa akaenda kumuambia Doc strange amasaidie kufuta makosa yale watu wasimjue...

Sasa hapo kwenye kusawazisha relaity ndipo wakatokea maadui kutoka alternate reality ambao ni Green Goblin, na Octopus (na Electro??? Maan ahakuonekana kwenye trailer.

Dec 17 Mungu atufikishe Salama

Sep 3 Shang chi inatoka
 
Aisee niliiangalia leo asubuhi nimeipenda sana halafu na vile yumo my favorite character Doctor Strange.. hii movie itakua bora zaidi kuliko hata zile za nyuma. Nimependa walivyokua wanapambana kule na treni..
Kwa jinsi nilivyoielewa ni kua..
Baada ya Mysterio kumuonyesha sura yake kua ndio aliyeshambulia Uk na drones.. peter anakamatwa. Sasa akaenda kumuambia Doc strange amasaidie kufuta makosa yale watu wasimjue... Sasa hapo kwenye kusawazisha relaity ndipo wakatokea maadui kutoka alternate reality ambao ni Green Goblin, na Octopus (na Electro??? Maan ahakuonekana kwenye trailer.
Dec 17 Mungu atufikishe Salama

Sep 3 Shang chi inatoka

Shang chi, ni balaa lingine Marvel aisee hawashikiki G.I. Joe wamezingua kwenye lead asian character ngoja waonyeshwe na wazee wakazi jinsi ya kuandaa movie bora
 
Shang chi, ni balaa lingine Marvel aisee hawashikiki G.I. Joe wamezingua kwenye lead asian character ngoja waonyeshwe na wazee wakazi jinsi ya kuandaa movie bora
Walitangaza 2019 kwamba wanataka watengeneze hard core Movie ya mkono mkono nikajua wanatania hatimae wametuletea ngoja tuone itakavyokua.. mbona ni hatari. Marvel ndio hollywood
Thanks to Loki😂 bila yeye tungepata wapi multverse??
No sio Loki. Kwa spiderman sio Loki!
Movie zilizosababishwa na tukio la Loki/Sylvae kumuua Kang ndio limefanya matukio ya what If.....? Umeiona?? Pia tukio la WandaVision. Sasa yote hayo atapambana nayo Doc strange ngoja tuone mwakani kwenye Multiverse of madness. Noma sana Marvel
 
'WHAT IF...!' nimeiona aisee
 
Walitangaza 2019 kwamba wanataka watengeneze hard core Movie ya mkono mkono nikajua wanatania hatimae wametuletea ngoja tuone itakavyokua.. mbona ni hatari. Marvel ndio hollywood

No sio Loki. Kwa spiderman sio Loki!
Movie zilizosababishwa na tukio la Loki/Sylvae kumuua Kang ndio limefanya matukio ya what If.....? Umeiona?? Pia tukio la WandaVision. Sasa yote hayo atapambana nayo Doc strange ngoja tuone mwakani kwenye Multiverse of madness. Noma sana Marvel

Yaani ndio kilichobaki Marvel ndio wanaoshikilia game sasa mfano, angalia mwaka huu universal walivyopoteana F9 haielewek. Na hiyo Dr strange navyoisubiri maana mle kuna powerful characters wa marvel sio poa kina Wanda, sema nimependa idea ya kumpair spider-man na strange itakuwa dynamic duo nzuri sana.

what if animation

Yeah hiyo hiyo.
 
Yaani ndio kilichobaki Marvel ndio wanaoshikilia game sasa mfano, angalia mwaka huu universal walivyopoteana F9 haielewek.
Toka nione mnaiponde F9 hata sijajisumbua kuitazama kwanza hua sipendi muvi za FF Basi tu zinakuzwa
Na hiyo Dr strange navyoisubiri maana mle kuna powerful characters wa marvel sio poa kina Wanda, sema nimependa idea ya kumpair spider-man na strange itakuwa dynamic duo nzuri sana.
Kuna kabinti kaniitwa American chevez ngoja tukaone itakavyokua. Kwakweli naomba Mungu nifike 2022 kutakua na muvi nyingi sana nzuri hasa kutoka Marvel.. Sema Marvel wameingiza character wengi wapya wa kike. Naona kundi la New and Young Avangers linakuja ..
Yeah hiyo hiyo.
 
Toka nione mnaiponde F9 hata sijajisumbua kuitazama kwanza hua sipendi muvi za FF Basi tu zinakuzwa

Kuna kabinti kaniitwa American chevez ngoja tukaone itakavyokua. Kwakweli naomba Mungu nifike 2022 kutakua na muvi nyingi sana nzuri hasa kutoka Marvel.. Sema Marvel wameingiza character wengi wapya wa kike. Naona kundi la New and Young Avangers linakuja ..

Na kuhusu Hawkeye ndio atakuwa Binti wa Burton au itakuwaje? awepo Jeremy renner maana ile character ni embodiment ya kwake kabisa Marvel kwa casting tu wako njema. Hii sio popular opinion ila binafsi sipend Chris pratt alivyokuwa casted kwenye Guardians nlitaman awe mtu mwingine tu ambae sio popular sana
 
Na kuhusu Hawkeye ndio atakuwa Binti wa Burton au itakuwaje?
No! Mimi mwenyewe nilijua Lila nddio atakua New Hawkeye maana kweye endgame ilionyeshwa anamfundisha. Ila Kate Bishop ndio anakuja kua mrithi ila Watoto zake wataonekana kwenye series hii pia
awepo Jeremy renner maana ile character ni embodiment ya kwake kabisa Marvel kwa casting tu wako njema.
Yeaha Clint he's the best ila Nadhani ndio anaaga MCU since hajawa na mkataba mwingine
Hii sio popular opinion ila binafsi sipend Chris pratt alivyokuwa casted kwenye Guardians nlitaman awe mtu mwingine tu ambae sio popular sana
Mimi nilidhani C Pratt GOG ndio ilimfanya maarufu
 
No! Mimi mwenyewe nilijua Lila nddio atakua New Hawkeye maana kweye endgame ilionyeshwa anamfundisha. Ila Kate Bishop ndio anakuja kua mrithi ila Watoto zake wataonekana kwenye series hii pia

Halafu naona yule Hailee steinfeld huyu muimbaji emily wa pitch perfect ndio atakae kuwa Kate Bishop ataitendea haki bila shaka
 
Leo jion nkasema nna nafasi ngoja nipite Cinema nkakuta hii coverspidermen No way homewote watatu ndani
IMG_9847.jpg

IMG_9845.jpg
 
Trailer la No way Home namba mbili limetoka na linaelezea vizuri zaid japo mpaka sasa sina uhakika kama Tutawaona spiders wote watatu, na kama ndio...je, watakuwa na screen time ndefu?wasije wakaonyeshwa dakika moja mwishoni maana ntafedheheka sana

Wadau wa JF si tutaenda premiere ya hii kitu makin M-city century cinemax au hata Aura
 
Back
Top Bottom