Aisee! Facebook kuna vituko

Kiukweli watu wengi wanaotumia Fb ni wale wanaoanza kutumia smartphone au washamba
 
Shida kubwa nnayoiona ni vile Mwanamke anashindwa kutambua kwamba mahusiano mengi wanaume wanakuwa wanatafuta pleasure na sio commitment. Ni juu yako wewe mdada kumbaka jamaa kabla hujampa tunda. Ukidhani unampa tunda ndio unamshika unajidanganya tuu. Kama.unajua na wewe wataka starehe basi weka kinga, kitanzi, kijiti au sindano ilimradi kuepuka mimba zisizotarajiwa of course ndom msisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…