Mwaka jana tulituma fedha via Airtel kwenda kwa jamaa zetu, fedha hazikuwafikia wahusika - tulipo kwenda kuchunguza ilionekana ni kosa lao, ilituchukuwa zaidi ya miezi sita kurudishiwa fedha zetu na hii na baada ya kuwatishia kuwafikisha mbele ya vyombo vya dola, naona bado wana mentality za mashirika ya UMMA -hawajali kitu.Toka jana vocha haziingii walituma ujumbe mfupi eti tuweke kwenye Airtel money...leo nimeingia Airtel money kununua salio inaniambia system is busy...sijaona tangazo lolote kwenye vyombo vya habari wakiomba radhi...hiki kiburi wanatoa wapi? Au ni njama ya kutaka wateja waingie kwenye huduma ya Airtel money ambayo imedorora??natamani nimtukane tusi la nguoni huyo MD wao mhindi ila Mod atanimaliza kwa kweli inakera sana PUM''BU! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums