Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,464
- 9,154
Unanunua luku token haiji.Nakusapot kk...airtel sahv wanazingua kwa kwl, mm nilijiunganga kifurush cha internet kupitia airtel money, cha ajabu nikatumiwa message ya airtel money kwamba nimefanikiwa kujiunga, ila data za internet sikupata...
Nikawapigia nikaambiwa ni tatizo la kiufundi, baada ya siku 3 nitarudishiwa pesa yangu, tangu mwezi wa 6 mpaka sasa mwez wa 8 sijapewa hata sh 10...huu ni uhuni wa ajabu sana.
Aisee pole mkuu hawa jamaa ni shida tupuNakusapot kk...airtel sahv wanazingua kwa kwl, mm nilijiunganga kifurush cha internet kupitia airtel money, cha ajabu nikatumiwa message ya airtel money kwamba nimefanikiwa kujiunga, ila data za internet sikupata...
Nikawapigia nikaambiwa ni tatizo la kiufundi, baada ya siku 3 nitarudishiwa pesa yangu, tangu mwezi wa 6 mpaka sasa mwez wa 8 sijapewa hata sh 10...huu ni uhuni wa ajabu sana.
B.1 kila mwezi mbali na gawio halali,huyu muhindi huyuYule Muhindi alikuwa anamfurahisha JPM siku ile ikulu, ohoo tutatoa bilioni moja kila mwezi hiyo kabla ya gawio halali.
Sasa wafanyakazi nao wanataka nyongeza, si pesa ipo ya kugawa hovyo?!
Mwisho tutasikia wanafunga ofisi kwasababu ya kiherehere na kujipendekeza kusikokua na maana.
Nmepata same case na pesa haijawahi kurudi!Nakusapot kk...airtel sahv wanazingua kwa kwl, mm nilijiunganga kifurush cha internet kupitia airtel money, cha ajabu nikatumiwa message ya airtel money kwamba nimefanikiwa kujiunga, ila data za internet sikupata...
Nikawapigia nikaambiwa ni tatizo la kiufundi, baada ya siku 3 nitarudishiwa pesa yangu, tangu mwezi wa 6 mpaka sasa mwez wa 8 sijapewa hata sh 10...huu ni uhuni wa ajabu sana.
Pole sana mkuu!Airtel saiv hawaeleweki niliamusha pesa zangu kidogo kutoka Airtel money kwenda kwenye TIMIZA AKIBA Yao imetokea nimekwama leo siku ya nne toka nimeahamisha hela kutoa kwenye TIMIZA kurudisha kwenye Airtel money niweze kutoa hela haitoki naambiwa tunashughulikia muamala wako. Huduma kwa wateja majibu wanayotoa ndiyo yanazidi kukera zaidi ukiwabana kwa maswali wanakwambia ndani ya masaa 24 na kukata simu.
Msaada jamani mwenye uelewa kidogo kipi cha kufanya.