Hapana Mkuu, mimi natumia hii huduma kwa muda sasa, ila tatizo ni hizo riba na masharti yanaumiza.
Wanajibalance baba na hiyo ni beam balance,ukitikisa tu basi ita kula kwao,
Kwanza niwapongeze kwa kuwa na huduma hii, ila naomba nitoe ushauri wangu kidogo.
Naomba muwe na utaratibu ambapo kama Mteja ataitumia huduma hii kwa muda mrefu na kwa uaminifu basi walau apate matunda tofauti na wenzake waliokiuka vigezo na masharti.
Kwa mfano kwa nini Mtu aliyetumia huduma hii, kwa miaka mitatu mfululizo kwa uaminifu asiongezewe muda wa kulipa mkopo sambamba na nafuu ya riba? labda sasa awe analipa ndani ya mwezi mmoja na riba ya 10% n.k.
Sitaki kuamini ya kuwa hamfahamu kama huo muda wenu wa kulipa kwa wiki mojia au mbili au tatu( kwa Mteteja kuchagua) na riba zake zile, kwamba zinaumiza sana. Walau basi kuwe na unafuu kadri Mtu napoonyesha uaminifu kwa muda mrefu, badala na hali ilivyo sasa ya nyie kujiangalia tu mnapata nini.
Kwa mtindo huo pia mtaweza kuwavutia Watu wawe waaminifu wakijua faida za kuwa waaminifu ni kubwa kuliko kuleta ujanja ujianja.
Ndio maana nimewaomba waja na mtindo wa kulegeza masharti kadri Mtu anavyokopa, maana waweza kujikuta umewaachia kama milioni moja ndani ya kama mwaka hivi lakini masharti yanabaki pale pale.Ukiangalia kiasi unachorejesha na mkopo mpya ni kama unajikopesha mwenyewe na hela yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu hao wana 600K yangu wamenieleza habari ya masaa 72 ambayo kwa siku wanahesabu 10 toka ijumaa iliyopita na tatizo lilikuwa limtandao lao makosa yao yamenitia hasara mimi.Hapana Mkuu, mimi natumia hii huduma kwa muda sasa, ila tatizo ni hizo riba na masharti yanaumiza.
Duh, we jamaa inaonyesha ua hasira nao kweli kweli.Wapumbavu hao wana 600K yangu wamenieleza habari ya masaa 72 ambayo kwa siku wanahesabu 10 toka ijumaa iliyopita na tatizo lilikuwa limtandao lao makosa yao yamenitia hasara mimi.
Nimewaanzishia uzi humu mbwa wakubwa hao hapa nasubiri zifike 21 days niwashitaki TCRA nile matunda makubwa mbwa kabisa wale
Aisifuye mvua lazima imemnyea.Duh, we jamaa inaonyesha ua hasira nao kweli kweli.
Kwa bahati nzuri mimi sijawahi kuingia nao kwenye mgogoro, zaidi tu nawataka walegeze masharti magumu ya TIMIZA ili niendelee na huduma zao bila stress.
Mkuu ingawa umeandika kifupi,lakini ukweli ndiyo huo.Ukiangalia kiasi unachorejesha na mkopo mpya ni kama unajikopesha mwenyewe na hela yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimeona ni vizuri wakatanguliza busara mbele kwa Mteja anayetimiza masharti.Mkuu ingawa umeandika kifupi,lakini ukweli ndiyo huo.
Unajikopesha mwenyewe hela yako lakini faida wanachukua wao.
Na ban yao ukikiuka masharti sijui ni ya muda gani tu!
Nadhani yaweza kuwa ni ban ya maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mligombana kuhusu huduma ya TIMIZA ama? maana ishu za customer care ni janga la kitaifa...nimewahi kukerwa na hao customer care ila ni kwa huduma zingine sio timiza.Hao wehu kwanza nilishagombana customer care wa airtel kuhusu huo ujinga wao na wananidai 67 elfu sasa kwasababu walinijibu vibaya siwalipi ng'o
Sent using Jamii Forums mobile app
Timiza nilimpigia kumuuliza kwanini riba kubwa nyongeza ya mkopo ni ndogo kabisa yaani kuna siku nyongeza yangu ya mkopo ilikua 1500 nilichukia sana halafu namuuliza yule Dada ananijibu mashudu ...nikamwambia umemaliza mamaMligombana kuhusu huduma ya TIMIZA ama? maana ishu za customer care ni janga la kitaifa...nimewahi kukerwa na hao customer care ila ni kwa huduma zingine sio timiza.
Duh, pole..Timiza nilimpigia kumuuliza kwanini riba kubwa nyongeza ya mkopo ni ndogo kabisa yaani kuna siku nyongeza yangu ya mkopo ilikua 1500 nilichukia sana halafu namuuliza yule Dada ananijibu mashudu ...nikamwambia umemaliza mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Timiza nilimpigia kumuuliza kwanini riba kubwa nyongeza ya mkopo ni ndogo kabisa yaani kuna siku nyongeza yangu ya mkopo ilikua 1500 nilichukia sana halafu namuuliza yule Dada ananijibu mashudu ...nikamwambia umemaliza mama
Sent using Jamii Forums mobile app