naomba msaada kuhusu namna ya kufanya configuration za internet kwenye i-pad yangu ambayo inatumia line kama simu, ninatumia mtandao wa airtel nimesha jaribu kuomba setting kwa kutuma neno all kwenda 232 lakini hakuna kinacho badilika.
I hope kwa hapa nitapata msaada kamili kwa tatizo langu. Nawatakia wote 88 njema na id njema.