Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

Aisee! wamejitahidi sana,kwa watu wanaosafiri sana wanaijua hii ndege huwa tunaenda kuipandia Beijing...huku huwa tunaambiwa uwanja mdogo leo imetua!
Huku sio uwanja mdogo.Ila hawana route ya kuifanya kuja huku.Hayo ni maneno tu ya watu wasiojua masuala ya ndege.
Hata ingekuwa ndege aina ya Antonov 255 Mrina, ingetua tu.Na ndio ndege kubwa kwa sasa duniani.Ni ndege ya mizigo.
 
Antonovu Mrina au Annex Mrina pale kaloleni arusha?
 
Emergency landing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…