AIR India pilots fights before take off.....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,654
Yaani juzi tu pilot mwenye depression kaua abiria wote.

Sasa na hawa wahindi wanapigana kabla ya kurusha ndege.

Naona maisha ya abiria wa ndege sasa ni one big risk.
 
Inawezekana ni ile michezo ya kihindi ya kawaida kupigana na kukimbia kimbia gaden alafu unarudi unampiga tena mwenzio basi raha tupu.

haikuwa serious sana.
 
usafiri wa anga ni salama sana lkn sasa naona unaanza kua tishio
 
Si afadhali wamegombana wakati bado wako chini wangegombana wakati washalipaisha?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…