Aina za ubani na matumizi yake

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,746
Reaction score
5,114
💥UBANI MAKA

kumvuta mpenzi na mahaba kazini huwa kwenye kuomba unafushwa huo ubani

💥UBANI ZUHURA

kumvuta mpenz aliye mbali

💥UBANI DHIKRI

kuombea dua zako mbali mbali

💥UBANI BAKARHAAD

kuondoa vifungo na kukupa nuru katika maisha yako ukichanganya na dawa mvuto

💥UBANI MASHTAKA

kuombea dua na kushtaki iwe kesi na kumdhuru adui yako kumrudisha mtu ubaya wake ukichanganya dawa fulani

💥UBANI KANDAR

hutumika kuwavuta majini wa mali kama umetengeneza liwe la kuvuta pesa dhahabu ama jini la chuma ulete nk basi hutumika ubani huo kufusha

💥UBANI SANDARUS

kuwavuta wateja na majini ya mali katika 👉biashala au shughuli zako kuondoa nuksi mwilini
 
Ubani MASHTAKA ntaupata wapi, tarehe 29 nna jambo langu.
 
Mbona hujaandika manemane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…