Kuna mizinga wameiandaa wenyewe,ukiwatokea tu mara Paaa!
1.Mzinga wa usaili
Huu mzinga wa kuangalia utoaji wako wa pesa kama unaridhisha au la,hapa usipoangalia unaachika mchana kweupe! ukipita hapa unaingia stage ya pili
2.Mzinga wa matonya
Hapa jiandae utapigwa mizinga isiyo kuwa na akili yaani haina kichwa wala miguu hii ni kutokana na ufaulu wako kwenye hatua no.1
3.Mzinga sikutaki!
Usithubutu likukute hili ndugu yangu, hii huwa inawalipua wale pendapenda wanaolazimisha kupendwa sasa usiombe penda usipopendwa. hapa wahusika mmenielewa
4.Mzinga mwana ukome
Huu mzinga ni kiboko kwa wale ving'ang’anizi ambao no.3 hawajakoma! hapa dau lake kuanzia 500000-10000000.
5.Mzinga byebye
Huu mzinga kuwa makini siku unalipuliwa ndio siku yako ya mwisho kwa hiyo kama una machale utakaa nao mbali. mzinga huu mara nyingi husababisha wanaume kujinyonga au wanawake kuwekwa kwenye majaba.
n.b. Mizinga yote hiyo papuchi usijali unapewaaaaaa tu.
Huu siuweki kwenye list yangu: Eti mzinga nisomeshe,mtauelezea wahusika wenyewe!
km kuna.niliyoisahau mnisaidie jamani,Asbh njema kazi njema.