kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 4,003 Reaction score 10,764 Oct 9, 2023 #21 Kumbe ndio hayo mkuu. Gari unakuta lina engine cc7000 PureView zeiss said: Dodge ni gari zenye nguvu Sana wenyewe marekani wanaita American muscle zimetumika Sana kwenye movies za FAST AND FURIOUS....Hizo ndinga ni ngumu Sana kupinduka Click to expand...
Kumbe ndio hayo mkuu. Gari unakuta lina engine cc7000 PureView zeiss said: Dodge ni gari zenye nguvu Sana wenyewe marekani wanaita American muscle zimetumika Sana kwenye movies za FAST AND FURIOUS....Hizo ndinga ni ngumu Sana kupinduka Click to expand...
mlima wa mizeituni JF-Expert Member Joined Sep 7, 2019 Posts 1,385 Reaction score 2,460 Oct 9, 2023 #22 Bijang said: Zaidi ya Chevrolet, hummer na ford sijaona brand zingine huku tz au wamauzia ulaya gari zao Click to expand... Hata Jeep huzioni mkuu?
Bijang said: Zaidi ya Chevrolet, hummer na ford sijaona brand zingine huku tz au wamauzia ulaya gari zao Click to expand... Hata Jeep huzioni mkuu?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,721 Reaction score 196,451 Oct 10, 2023 #23 Ahasnte kwa taarifa...
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 3,043 Reaction score 3,818 Oct 10, 2023 #24 Mynd177 said: Af kuna mtu anasema et china itakuja kuikalisha usa kiuchumi... Click to expand... Inawezekana,ukichechemea hata kama uko mbele anayekimbia atakupita.
Mynd177 said: Af kuna mtu anasema et china itakuja kuikalisha usa kiuchumi... Click to expand... Inawezekana,ukichechemea hata kama uko mbele anayekimbia atakupita.
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 3,043 Reaction score 3,818 Oct 10, 2023 #25 Mtukutu Mkuu said: Point USA nyumba Nyingi ndan zinagarage ndan that why mechanics wa Huko very talented Click to expand... Akina xzibit.
Mtukutu Mkuu said: Point USA nyumba Nyingi ndan zinagarage ndan that why mechanics wa Huko very talented Click to expand... Akina xzibit.
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 6,291 Reaction score 10,191 Oct 12, 2023 #26 Eti yote hayo nikosepo ata moja ...daaaah! 😳😳😳
F-22 raptor Member Joined Aug 24, 2023 Posts 42 Reaction score 98 Oct 12, 2023 #27 Mtukutu Mkuu said: Point USA nyumba Nyingi ndan zinagarage ndan that why mechanics wa Huko very talented Click to expand... Huko gari ni sehemu ya familia
Mtukutu Mkuu said: Point USA nyumba Nyingi ndan zinagarage ndan that why mechanics wa Huko very talented Click to expand... Huko gari ni sehemu ya familia