Tena bila maandaziHii kama chai ya mchana.
Hii chai tena chai yenye sikuari nyingi sana, redio gani hiyo unatumia? Mfano home theater huwa uki connect na Bluetooth ukizima simu huwa na yenyewe inakaa dakika kumi hivi inajizima kwenye hiyo mode ya Bluetooth,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkarimu sana huyu ndugu.Inawezekana kabisa tena hizo Bluetooth zisizo na password/pin
Aweke na kachumbari itanoga zaidi 😀Chief, mi napendelea na mihogo ya kuchemsha, nitafurahi kama ikiwepo! [emoji41][emoji41][emoji41]