Aibu taarifa ya habari tbc

Taarifa za biashara zimechanganywa na za wiki iliyopita, picha hazina ubora hata kidogo yaana ni aibu kubwa alaf ndo wameipeleka hadi dstv hii chanel.

hivi sifa za kuwa mwandishi wa habari au mtangazaji wa TBC ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…