Mimi nimemwelewa mtoa mada, maana kuna siku nilichukia sana baada ya ku record ISIDINGO the need ili niangalie badae, sasa nimemaliza issue zangu nimetulia na kikombe changu cha chai ili nianze ku enjoy ISIDINGO the need mala nakutana na kipindi cha watoto! nilichukia sna. Na tangia hapo najua kua saa moja na nusu ni ISIDINGO the need, sitilii maanani wao kwenye ratiba wameaandika nini.