Aianika timu yake

Hao wachache sana mimi kwa mwenzi nikiwa na pesa nabadilisha zaidi mara wanawake 20
 
Ndo maisha hata na mm in days to come nitaweka kijiji changu huko fb.
 
Kwa kuwaanika hao anaweza kimbiwa na huyo aliye naye sasa. Kwangu kuwa na demu aliyekwisha tiwa sana sio issue, ila nikijua hilo group la waliompitia napoteza mvuto kwake.
 
Aweke wale mapapa, aachane na vidagaa
 
Sijaelewa kinachojadiliwa hapa asee nipeni muongozo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani alikua na design moja ya wavulana...
Huyu wa mwisho chini kama namfahamu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…