Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Ni kweli lakini ni hatari zaidi anapokuwa nazo punguani kama Ahmadinejad.
Hizi ni ndoto. Sipendi kupoteza muda wangu katika ulimwengu wa ndoto.I don't support any nation having nuclear arms be it America or Iran.
I don't support any nation having nuclear arms be it America or Iran.
Tumain siamini kuwa kwako Muislamu ndiko kunakokuongezea uduni wa fikra, nakweli naamini lipo tatizo la kimalezi kwa namna unavyopenda jazba katika mijadala yenye afya, mbona wewe si mvumilivu.................ama afya yako ya akili inamushkeri.Ni ripoti basi kwa mabwana zako
walisema hayo hayo kabla ya vita ya Pili ya Iraq kuwa itakwaa kisiki, maana Sadam na JESHI lake la Taifa wako makini sana, na wanauzoefu wakutosha.
Ambacho bado hamuamini kushinda vita hii ya kisasa haitaji kelele na majisifu kama Iran, Taifa la Uyahudi pale linawatesa miaka nenda rudi.
kupigwa Iran ni swala la kimkakati, lakini sitaki kuamini kama wao wanajeshi Imara hata kupigana na A frika Kusini, ama Misri.
Na kwenye kujibu hoja hupaswi kuleta matusi, ni upi Umalaya wa Bibi Clinton, sikushangai , ila ni tatizo la kimfumo na kimalezi....unajua chanzo chake...
Tumain siamini kuwa kwako Muislamu ndiko kunakokuongezea uduni wa fikra, nakweli naamini lipo tatizo la kimalezi kwa namna unavyopenda jazba katika mijadala yenye afya, mbona wewe si mvumilivu.................ama afya yako ya akili inamushkeri.
Mpofu, mpotovu, mdini , mshari, mshamba, usie elimika,mtu dhalili ....mmmhFikra duni accordhing to whom? wewe nikisema unayo fikra duni utabisha?
Malezi JF siyo kituo cha kulea tabia acha kujidanganya pole
Ha ha eti akili ina mushkeri unafurahisha sana..leta hoja nyingine....umeishiwa nafikiri aliishiwa hoja ndio ana matatizo while pointing at me four fingers point at you..lol
Mpofu, mpotovu, mdini , mshari, mshamba, usie elimika,mtu dhalili ....mmmh