Ahadi za mkuu

Joined
Dec 29, 2016
Posts
14
Reaction score
22
Iv wapendwa kuna ahadi yoyote aliyotoa Bwana mkubwa kwenye kampen na ameitekeleza??

Af me naona kama ye anaona 2020 ni mbali wakat kesho tu
 
Kabaka katiba na sheri kawafunga watanzania kapola kodi zetu na kupeleka chatu swissme
 
Ahadi nyingi tu mbona amezitekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…