Ahadi za Mh. Lowassa

zandaboy

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
15
Reaction score
1
Nimefuatilia kampeni za wagombea urais na kusikiliza AHADI zao na kubaini ukweli mmoja: kwamba, AHADI za Lowassa ni Realistic, Consistent, Measurable, Attainable & Achievable within the prescribed tenure of office (5 years). Anayefuata ni mgombea urais wa ACT.
My Observation!
 

Ts true
 
Kwenye ulingo WA biashara hizo objectives zinaitwa SMART Objectives
Specific
Measurable
Attainable
Realistic
Time bound

Edward is SMART
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…