Jamani nimelazimika kuandika haya baada ya kufutlia ahadi za wagombea nyazifa mbalimbli katk uchaguzi ujao.
Nilichogundua ni kua bado wananchi wengi wengi haswa wa maeneo ya vijijini hawajui nin maana ya ahadi. Mfao kuna jimbo moja lina barabara ya vumbi tupu toka miaka ya uhuru, lakini kila mgombea anaefika pale huahidi kuitengeneza barabara hyo, wananchi humshangilia as if barabara ni shati kua atalinunua na kuwapea. maeneo mengi pia ni hivihivi.
sasa swali ambalo me najiuliza ni kua, ahadi ni dhamira ya mtu kuleta maendeleo endapo akipewa dhamana au ni nyenzo ya kupata kura??