Agronomist anaitajika Bunju B

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
146
Reaction score
100
Naitaji Agromist kwa kazi ya muda mfupi ya kuset bustani ya mboga mboga nyumbani kwangu Bunju B.

Atalipwa kwa kazi hii kwani ni ya muda mfupi.
 
Naitaji Agromist kwa kazi ya muda mfupi ya kuset bustani ya mboga mboga nyumbani kwangu Bunju B. Atalipwa kwa kazi hii kwani ni ya muda mfupi.
Kuna bi mkubwa alikua Wizara ya Kilimo ni mtaalamu. Ngoja nikupe namba yake. 0754 203361 au 0783 203361. Anaishi hukohuko. Anajua sana kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…