[emoji419] UTANGULIZI
[emoji117] Hivi unajua kwamba afya zetu zinategemea kabisa na hali zilivyo za utumbo wetu ???
Ngoja nikujuze sasa, Pindi mtu anapoamua kuishi maisha ambayo yanahatarisha afya yake kama kula vyakula visivyo salama na maji pia yasiyo salama, ulevi uliopitiliza , uvutaji wa sigara na kutokula vyakula visivyo na faiba kama vile matunda na kadhalika , mtu huyu lazima atapatwa na matatizo katika utumbo wake
[emoji117] Njia yake ya kupitishia chakula itakuwa imejaa mafuta na sumu za chakula ambazo utumbo umeshindwa kuzitoa, pia lazima njia ya chakula itazungukwa na mabakteria mabaya
[emoji117] Hali hii inasababisha kupata obesity ( Unene kupita kiasi ) na magonjwa hatarishi kama kansa ya utumbo ambayo inaongoza kwa kuua watu wengi ikiwa haichagui watu matajir hadi masikini pia inaweza kusababisha matatizo ya mishipa ya damu , magonjwa ya ini , magonjwa ya figo , kisukari na matatizo ya moyo
[emoji117] Utumbo ukiwa safi unakuwa salama kutokana na matatizo ya hapo juu kwa asilimia kubwa sana , kama unahisi una shida ya matatizo hayo niliyoyataja juu kuna uwezekano mkubwa wa utumbo wako kuwa mchafu hivyo unahitaji kusafishwa
[emoji117] Kuna umuhimu mkubwa wa kusafisha utumbo wetu ndiyo maana kampuni ya EDMARK INTERNATIONAL wakatuletea bidhaa hii ya SHAKEOFF PHYTO FIBER kutoka malaysia ambayo imethibitishwa kitaifa na kimataifa
[emoji419] SHAKEOFF PHYTO FIBER
[emoji117] Hiki ni kinywaji cha asili chenye uwezo kusafisha utumbo wako mpana kwa uwezo mkubwa sana
[emoji117] Ni kinywaji cha afya kilichotengenezwa kwa virutubisho vya asili ambavyo vina uwezo mkubwa wa kusafisha na kuondoa kabisa sumu zote kutoka kwenye utumbo na kuuacha utumbo wako ukiwa safi na wenye Afya
[emoji117] Imetengenezwa na virutubisho asilia hivyo kukufanya ww kutopata madhara baada ya kuitumia
[emoji117] Inapatikana katika ladha mbili ambazo ni
[emoji117] Limao
[emoji117] Pandani
[emoji117] Imetengenezwa kwa kutumia virutubisho vifutavyo
[emoji654] Plant Fiber
[emoji117] Hii inasaidia kutoa hisia kamili pale unapoinywa pia inasaidia kuziondolea sumu
[emoji117] Inazuia kuharisha na inaongeza ufyonzwaji wa maji katika utumbo mpana
[emoji654] Roselle
[emoji117] Aina hii ina vitamini C kwa wingi, kalsiam , madini ya chuma na ina viambata vya kiprotini ambavyo vinasaidia katika kuipa ngoz urembo wake wa asili
[emoji654] Oats
[emoji117] Hii inafanya kazi kama sponji ambayo ni kunyonya zile lehemu mbaya (kolestro)
[emoji117] Ina nyuzinyuzi za kiprotini zinazosaidia kuzuia kansa ya tumbo
[emoji654] Garcinia Cambogia
[emoji117] Hii inasaidia katika hatua za kupunguza unene ambayo kipindi hicho inafanya kaz ya kuondoa hamu ya kula na inaongeza kazi za mwili ili kuufanya mwili uhitaji kuyabadili mafuta yaliyozid kuwa glukosi ili itumike katika seli kujitengenezea nguvu
[emoji117] Kwa kazi hiyo ya hapo juu , inajikuta pia inafanya kazi ya kuweka
msawazo wa sukari katika damu na pia kuondoa lehemu mbaya
[emoji654] Inulin
[emoji117] Hii inafanyakazi ya kutengeneza bakteria wazuri kama vile bifidus, Fecalis na Laclis katika utumbo
[emoji117] Pia inasaidia katika kuondoa kisukari kwa kuufanya mwili wako upunguze uhitaji wa mwili kuitengeneza Insulin
[emoji419] SIFA ZAKE
[emoji117] Matokeo yake ni ya haraka na inafanya kaz
ndani ya masaa 6 mpaka 8
[emoji117] Ina ladha nzuri ya limao na pandani
[emoji419] FAIDA ZAKE
[emoji736] Inazuia kansa ya utumbo mpana
[emoji736] Inazuia unene uliopitiliza
[emoji736] Inaondoa lehemu mbaya
[emoji736] Inazuia kutokea kwa chunusi ( uzuri unaanzia ndani )