Kuna mtu anapata black spots usoni vinakuwa na kusambaa usoni, huwa anasumbuliwa sana na mionz ya jua...ametumia mafuta mbalimbali hata wanayo tumia ma albino lakin hayajamsaidia...ushauri wa kitabibu please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.