Katika hotuba zake zote Kikwete anajiweka karibu zaidi na Mkapa na Mwinyi kuliko Nyerere. Akisema hatutarudi nyuma ana maana hatutarudi kwenye siasa za ujamaa na kujitegemea. Huyu kishajitenga mbali na Nyerere siku nyingi kwa hiyo nashangaa kuona msomi anajitahidi kumsogezasogeza karibu na Mwalimu. They are as far apart as earth and Mars