ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,452
- 5,669
Kinachoniumizaga kichwa! Ni chimbuko la Neno Firika! Hadi Leo sijui kwanini lilifanana na Jina la Afrika!
Bakwata walitakiwa kutoa ufafanuzi!
Michezo ya hovyo ilitokea huko ulaya! Kwanini iwe na jina linalofanana na afrika?
Bora hata kitendo hiko kingeitwa U.S.AMBU style
Mtu wa kwanza au mtu wa kale?Mtu wa kwanza alizaliwa Afrika Olduvai Gorge. Alikuwa ladba Mmasai.
Miaka milioni mbili ilyopita.
Wamasai wanaishi na Wanyama wengine porini bila ugumu wowote, wanaishi na Simba, Fisi. Tiger, nyoka wa aina zote.
Mtu wa kwanza au mtu wa kale?
Neno firika Lina mahana gani mkuuKinachoniumizaga kichwa! Ni chimbuko la Neno Firika! Hadi Leo sijui kwanini lilifanana na Jina la Afrika!
Bakwata walitakiwa kutoa ufafanuzi!
Michezo ya hovyo ilitokea huko ulaya! Kwanini iwe na jina linalofanana na afrika?
Bora hata kitendo hiko kingeitwa U.S.AMBU style
Mtu wa kwanza ni binadamu wa kwanza KABISA kuumbwa.Tofauti ni ipi?
Kinachoniumizaga kichwa! Ni chimbuko la Neno Firika! Hadi Leo sijui kwanini lilifanana na Jina la Afrika!
Bakwata walitakiwa kutoa ufafanuzi!
Michezo ya hovyo ilitokea huko ulaya! Kwanini iwe na jina linalofanana na afrika?
Bora hata kitendo hiko kingeitwa U.S.AMBU style
Anaweza kuwa wakale lakini asiwe wakwanza.Tofauti ni ipi?
Waafrika uvivu wa kuandika na kutotunza vya kwetu tulianza zamani sanaTuanze mwanzo, Afrika ni nini?
Land of pleasant, watu ambao ni easy going. Wanakaribisha wageni.
Watu wa kale. Kabisa.
Jina la asili ya Afrika ni Kemet, nchi ya weusi, udongo mweusi watu weusi.
Afrika ni chimbuko la binadamu ustaarabu wote duniani umeanzia hapa nyumbani.
Hii mada itatufundisha na kufafanua kila kitu.
Kurekebisha, kufafanua, kusahiisha historia.
Kwenye tiger umeupiga mwingi na Kama Mama SamiaMtu wa kwanza alizaliwa Afrika Olduvai Gorge. Alikuwa ladba Mmasai.
Miaka milioni mbili ilyopita.
Wamasai wanaishi na Wanyama wengine porini bila ugumu wowote, wanaishi na Simba, Fisi. Tiger, nyoka wa aina zote.