Afrika Kusini Vs Afrika

Yani ni ivii inatakiwa kupigwa na wao piaa?? Ila sujui kama balozi wa south ndugu Lowasa anafanya nn?? Zimbabwe yenyewe inawarudishaaa tz wapiuu.... Ila ushetanii
 

Hizo ni fikra zako tu, huwezi kujidhalilisha eti utakufa maskini kwa watu wenye roho mbaya kwako, liwalo na liwe serikali itoe tamko kali na ndugu zetu waendewe warudishwe hapo rais jk aongea direct na huyo Zuma kuokoa watu wetu,
 
kwanni tusiutimue ubalozi wao hapa nchini????
kwanni tusizuie wananchi wao kuingia hapa nchini????
na kwanni tusiwatimue wananchi wao waliopo hapa nchini??????
 
Ukiwatazama wasouth Africa wengi wanaile ya kusema wao ni Wasouth Africa na sio Waafrica kwa sababu ya miundombini ya kiuchumi.
 
kwanni tusiutimue ubalozi wao hapa nchini????
kwanni tusizuie wananchi wao kuingia hapa nchini????
na kwanni tusiwatimue wananchi wao waliopo hapa nchini??????

Co kuwatimua tuuu tuwatifueee kidogo na sisi ili waone uchungu kidogoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…