Panaless The Great
Member
- Feb 13, 2013
- 46
- 27
Kila anaelia anashika kichwa yake MKUU.....kabla hujajidharau sana kumbuka hata nchi za kiarabu zinatembelewa sana na U.S.A.
waite na waarabu failures basi sio unajiita wewe tu.
Nchi nyingi za kiarabu ni failed states mkuu,Saudi Arabia ni Ngombe wa maziwa wa US,...kabla hujajidharau sana kumbuka hata nchi za kiarabu zinatembelewa sana na U.S.A.
waite na waarabu failures basi sio unajiita wewe tu.
ina maana Africa hakuna failed states? kubali tu mkuu unajidharau.Nchi nyingi za kiarabu ni failed states mkuu,Saudi Arabia ni Ngombe wa maziwa wa US,...
Mkuu failed states Africa ni za kutosha...ndo maana tunalaumu AU kwa kukosa meno na Sauti
haizuii kuona na wengine wakijishika kichwa kama wewe. hapo ndo utajua haupo peke yako. ni sawa na Mmarekani kuona Corona inamfatilia sana wakati kitu kinasumbua globally.Kila anaelia anashika kichwa yake MKUU.....